NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Mumushaanza kupiga mayoweUpuuzi mtupu mechi ya Kagera na Yanga Sc Kuna goli limefungwa la hakuna offside kabisa lakini Refa wa penbeni kainua bendera na kusema offside.
Maoni Yangu : kwa mfumo huu wa marefa mpira wetu kukua ni kujidanganya tu na ndiyo maana mabingwa wanabaki Simba sc na Yanga Sc kwa sababu marefa wanachezesha kwa mapenzi ya timu mbili.
Kwa mfumo huu tusitegemee kuona marefa wetu kuchezesha hata michezo ya kombe la mbuzi lililo andaliwa na CAF.
Unadhani kwanini imetambulishwa teknolojia ya VAR? ni kwasababu hata huko huko ulaya marefa wanashindwa kuona matukio kwa usahihi? Sasa hao marefa wa Tanzania wao ni maroboti?Upuuzi mtupu mechi ya Kagera na Yanga Sc Kuna goli limefungwa la hakuna offside kabisa lakini Refa wa penbeni kainua bendera na kusema offside.
Maoni Yangu : kwa mfumo huu wa marefa mpira wetu kukua ni kujidanganya tu na ndiyo maana mabingwa wanabaki Simba sc na Yanga Sc kwa sababu marefa wanachezesha kwa mapenzi ya timu mbili.
Kwa mfumo huu tusitegemee kuona marefa wetu kuchezesha hata michezo ya kombe la mbuzi lililo andaliwa na CAF.
Kadi nyekundu aliyokuwa anastahili Sadio Mane AFCON 2024 nchini Ivory Coast palikuwa hakuna VAR?Unadhani kwanini imetambulishwa teknolojia ya VAR? ni kwasababu hata huko huko ulaya marefa wanashindwa kuona matukio kwa usahihi? Sasa hao marefa wa Tanzania wao ni maroboti?
Nani alifunga ?Upuuzi mtupu mechi ya Kagera na Yanga Sc Kuna goli limefungwa la hakuna offside kabisa lakini Refa wa penbeni kainua bendera na kusema offside.
Maoni Yangu : kwa mfumo huu wa marefa mpira wetu kukua ni kujidanganya tu na ndiyo maana mabingwa wanabaki Simba sc na Yanga Sc kwa sababu marefa wanachezesha kwa mapenzi ya timu mbili.
Kwa mfumo huu tusitegemee kuona marefa wetu kuchezesha hata michezo ya kombe la mbuzi lililo andaliwa na CAF.
Bora wangekuwa ni maroboti bali ni vilaza. Kila mara wanakosea halafu unatetea upuuzi. Matukio ni mengi sana ya maamuzi mabovu ambayo yanathibitisha kabisa hawa waamuzi huwa wanaziogopa simba na yanga. Goli la kagera lingefungwa na yanga kamwe lisingekataliwa.Unadhani kwanini imetambulishwa teknolojia ya VAR? ni kwasababu hata huko huko ulaya marefa wanashindwa kuona matukio kwa usahihi? Sasa hao marefa wa Tanzania wao ni maroboti?
Sio kweli Yanga washa wahi nyimwa magoli mengi tu halali kifupi ni kwamba hatuna waamuziBora wangekuwa ni maroboti bali ni vilaza. Kila mara wanakosea halafu unatetea upuuzi. Matukio ni mengi sana ya maamuzi mabovu ambayo yanathibitisha kabisa hawa waamuzi huwa wanaziogopa simba na yanga. Goli la kagera lingefungwa na yanga kamwe lisingekataliwa.
Unaweza kuniambia ni marefa wangapi duniani ambao wapo perfect hawafanyi makosa? Kama kusingekuwa na makosa kwa marefa kusingekuwa na msaada wa VAR.Bora wangekuwa ni maroboti bali ni vilaza. Kila mara wanakosea halafu unatetea upuuzi. Matukio ni mengi sana ya maamuzi mabovu ambayo yanathibitisha kabisa hawa waamuzi huwa wanaziogopa simba na yanga. Goli la kagera lingefungwa na yanga kamwe lisingekataliwa.
Uliona lini refa wa kibongo akifanya kosa kubwa kama kuruhusu goli kwa kuionea yanga au simba dhidi ya timu ndogo? Ili ionekane ni bahati mbaya ilitakiwa timu ndogo pia zifaidike na hayo maamuzi mabovu dhidi ya simba au yanga lakini ni nadra sana kuona hiyo.Unaweza kuniambia ni marefa wangapi duniani ambao wapo perfect hawafanyi makosa? Kama kusingekuwa na makosa kwa marefa kusingekuwa na msaada wa VAR.
TATIZO MNAONGELEA USHABIKI.Ile ilikua clear offside hakuna goli kama lile.
Tusitegemee kuona mpira wetu kukuaYanga na simba ni vilabu vya tff ndio maana zinabebwa
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Katika kufatilia kwako soka la Tanzania hukuwahi kuona Simba au Yanga wakifunga magoli dhidi ya timu ndogo kisha yakakatsliwa kwa offside?Uliona lini refa wa kibongo akifanya kosa kubwa kama kuruhusu goli kwa kuionea yanga au simba dhidi ya timu ndogo? Ili ionekane ni bahati mbaya ilitakiwa timu ndogo pia zifaidike na hayo maamuzi mabovu dhidi ya simba au yanga lakini ni nadra sana kuona hiyo.
Halafu kuanzishwa kwa VAR haimaanishi dunia nzima marefa wanafanana viwango. Marefa wa hovyo wapo hata kama kufanya makosa ni ubinadamu na ndio maana hao unaowatetea huwezi kuwaona kwenye mashindano makubwa ya CAF au FIFA.
Nimekuambia ni nadra ila wao kufaidika na maamuzi mabovu ni mara nyingi , huo ndiko ukweli.Katika kufatilia kwako soka la Tanzania hukuwahi kuona Simba au Yanga wakifunga magoli dhidi ya timu ndogo kisha yakakatsliwa kwa offside?