Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Huo ndio uhalisia. Angalia goli walilofunga Nigeria likakataliwa ni sawa na walilofungwa Yanga tofauti tu sisi Camera ya Azam haikukaa usawa wa mchezaji wa mwisho. Sijui nyie mna macho ganiTATIZO MNAONGELEA USHABIKI.