Hawa ndiyo marefa wetu wanaochezesha kwenye ligi inayoshika nafasi ya sita kwa ubora?

TATIZO MNAONGELEA USHABIKI.
Huo ndio uhalisia. Angalia goli walilofunga Nigeria likakataliwa ni sawa na walilofungwa Yanga tofauti tu sisi Camera ya Azam haikukaa usawa wa mchezaji wa mwisho. Sijui nyie mna macho gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…