Hawa ndiyo member nilio wakuta wapo online saa 8 za usiku..

Huwa nashindwa kuelewa ninapomuona mke au mume wa mtu akiwa mitandaoni mida ya usiku kuanzia saa 7 , 8 au hata saa 9.

duh..wewe nahis umekariri...mwingine usingiz umekata..afanyeje sasa
mwingine anaumwa balaa hasa hasa mgongo au kichwa ghafla kinauma....yaan kuolewa had uhuru huo ukose jaman? mbona ni vitu vya kawaida..??mtasema tena mume akiingia kulala na mke akimbie chumban kulala..au mmekariri kila siku wanakutana kimwili?
basi ndoa zenu majanga aiseee..poleni!
 
Ndoa imekuwa jela?
 
Back
Top Bottom