Hawa ndiyo vinara wa kutembeza block mitandaoni ukiwa kinyume na mawazo yao

Hawa ndiyo vinara wa kutembeza block mitandaoni ukiwa kinyume na mawazo yao

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
14,588
Reaction score
32,361
Ukiwa umewa-follow hakikisha hau-comment chochote kilicho kinyume na mawazo yao. Inatakiwa usapoti au upige kimya. Kwenye platforms zao mawazo mbadala hayatakiwi. Followers wao wapo kusifu na kuabudu tu.

1. Malisa GJ
2. Maria Tsehai
3. Wakazi
4. Martin Maranja
5. Nape
 
huyo wa mwisho nasikia kule x kaamua kujipiga yeye buloku!
 
Safi sana kwanini utumie nguvu nyingi kwenye mitandao.
Mimi hapa jf ndo naongoza kwa ku-ignore watu.
 
Back
Top Bottom