Hawa ndiyo vinara wa upachikaji wa mabao kombe la shirikisho Africa

Huyu si alifunga hattrick mbili na dhidi ya Zalan ya somalia????imekuwaje tena?????ana goli 11 huyo bna
Ona hii jamaa yetu makolo! Haifahamu hata kanuni ndogo tu za haya mashindano. Magoli yanaanza kuhesabiwa kuanzia hatua ya makundi wewe.
 
HAMNA KLABU INAYOITWA MALUMO GALLANTS JINGA WW
Malumo gallants
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…