Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Ona hii jamaa yetu makolo! Haifahamu hata kanuni ndogo tu za haya mashindano. Magoli yanaanza kuhesabiwa kuanzia hatua ya makundi wewe.Huyu si alifunga hattrick mbili na dhidi ya Zalan ya somalia????imekuwaje tena?????ana goli 11 huyo bna