Hawa ndiyo vinara wa upachikaji wa mabao kombe la shirikisho Africa

Hawa ndiyo vinara wa upachikaji wa mabao kombe la shirikisho Africa

Huyu si alifunga hattrick mbili na dhidi ya Zalan ya somalia????imekuwaje tena?????ana goli 11 huyo bna
 
YANGA ANABEBA NDOO YA CAF LOSERS CUP MWAKA HUU, NDOO YA NBC NA YA ASFC. NGADA FC MTAISHIA KUBEBE KOMBE LENU LA ROBO FAINALI CAF CL
 
Fiston Kalala Mayele mmoja, ni sawa na akina Kibu Denis 10! Alifunga kagoli kamoja, dhidi ya Yanga! Siyo kushangilia huko!

Yaani utafikiri ndiyo timu yake imefuzu sasa hatua ya nusu fainali kule Morocco dhidi ya Wydad Casablanca!
 
Attachments

  • Makol6.jpg
    Makol6.jpg
    32.4 KB · Views: 3
Fiston Kalala Mayele mmoja, ni sawa na akina Kibu Denis 10! Alifunga kagoli kamoja, dhidi ya Yanga! Siyo kushangilia huko!

Yaani utafikiri ndiyo timu yake imefuzu sasa hatua ya nusu fainali kule Morocco dhidi ya Wydad Casablanca!
Habari mbaya sana hizo kwao.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom