Hawa ndiyo Waafrika wanaolipwa pesa ndefu kwenye Mpira wa miguu

Robot la Matope

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
8,174
Reaction score
16,794
1. Sadio Mane [emoji1211] - £661,000 kwa week

2. Riyad Mahrez [emoji1026] - £481,000 kwa week

3. Kalidou Koulibaly [emoji1211] - £412,000 kwa week

4. Mohamed Salah [emoji1093] - £350,000 kwa week

5. Edouard Mendy [emoji1211] - £227,000 kwa week

6. Thomas Partey [emoji1110] - £200,000 kwa week

7. Achraf Hakimi [emoji1173] - £176,000 kwa week

8. Nicolas Pepe [emoji1081] - £140,000 kwa week

9. Andre Onana [emoji1062] - £115,000 kwa week
 
These guys are millionaires aisee, wakirudi kuwa bankrupt ni aibu kwao. They must invest in Africa heavily and in Europe too.
 
Samata vipi hapo jamani ? Ulimwengu alipotelea wapi ?
 
These guys are millionaires aisee, wakirudi kuwa bankrupt ni aibu kwao. They must invest in Africa heavily and in Europe too.
Huo ni mshahara kwa Wiki, sasa sijui ni kwa wiki zote 52 au ni wiki zile za michezo tu; hata hivyo ni hela nyingi sana. Acha wafaidi vipaji vyao.
 
Bado Salah kuhamia Saudia msimu ujao. Na hivi ni muarabu, atablend in kirahisi.
 
Nilimaanisha kwenye ligi ya Tanzania, sikusema wachezaji watanzania.

Shimo la panya linazibwa kwa cheese.
Ah sasa kwani mzee wa kutetema huo mshahara analipwa hapa kwa Samia?

Hapa kwa Mwigulu nadhani anayelipwa mzigo mkubwa kuliko wote ni Azizi Ki... wambea wanasema analamba 21m kwa mwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…