NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Nilisubiri kwa hamu kubwa kuona mashabiki wa Simba sc kumwaga maua kwa Mashujaa zao baada ya mchezo kuisha lakini imekua tofauti zaidi nimeona lawama tu.
NALIA NGWENA nazungumza kimpira (kiufundi) kile nilichokiona kwenye Pitch wakati nyasi zikiwaka Moto katika uwanja wa Benjamin mkapa, niliona wanaume Hawa waking'ara katika mchezo wa kukatana shoka.
(1) Saidoo Ntibazonkiza muite father wa Bujumbura huyu mwamba ukizungumzia kasi, akili na jicho la pass hakika mwamba anazeeka na utamu wake.
Magoli yote yameanzia kwenye mguu wake alipiga pre assist kwenda kwa Chama na Chama akaitupa kwa Kibu Denis
Na pass ikaleta matokeo chanya.
Goli la pili Saidoo Ntibazonkiza anapiga dead ball inamkuta Mtu mbad (Putin) ana maliza kazi.
Hakika Saidoo Ntibazonkiza anastahili maua yake ability ya kucheza miguu yote Ina manufaa sana kwa Ntibazonkiza.
(2) Fabrice Ngoma ( he is a baller) kiungo mkabaji kweli niliiona kazi yake Kama ni kweli walimuiba Airport hapa hawakukosea kanifanya nimkumbuke Mukoko Tonombe na Tadeo Luhanga namna alivyokua akilichora dimba la Kati.
(3)Che Malone (beki kitasa) mwamba alipiga kazi kubwa Kama Punda sema ni makosa madogo madogo tu ndiyo yalimuangusha Ila huyu ni Mtu kazi and he deserves More maua kutoka kwangu.
Ukiachana na Assist aliyotoa Chama ndiyo mchezaji aliyekua anapoteza mipira mingi sana na Hilo lipo wazi Chama kwenye mechi kubwa huwa anapoteana.
Na simlaumu Robertinho (sambaroketo boy) kwa kumuingiza Miqsoni nafikiri alitumia uzoefu tu lakini ukija kwenye performance hakua vizuri.
KILA LA HERI HUKO MISRI