Hawa ndiyo wahenga Bongo waliooa wazungu

Hawa ndiyo wahenga Bongo waliooa wazungu

Dr winani from Tarime pia mkewe ni mzungu, bila kumsahau Dr Sanga lecturer st john pia mkewe ni mzungu, ila huku mtaan kwetu sie tunajiachia na waarabu na wahindi mazalia, karibu sana salawi upate wife materia rangi nyeupe ( waarabu na wahindi)
Salawi ndio wap huko?
 
Ulaya Mashariki hadi kesho kuna njaa....wamejaa kibao Ulaya magharibi wanatafuta maisha.
Hao wa magharibi ndio wanaenda huko mashariki kutafuta maisha sikuizi, uliza waliopo huko mashariki sasa hivi wakuambie.
 
Back
Top Bottom