Hawa ndiyo wanaume wetu walivyo

Hawa ndiyo wanaume wetu walivyo

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Familia ilipata nyumba kwenye flats, wakijaliwa watoto watoto wawili, baba alipata mchepuko kwenye flats zile zile ni mdada mwenye career yake lakini yuko single.

Yaani usiku mwaume akiona tu taa za dada zinawaka ana shuka chini anakaa mpaka muda wa kulala ndiyo anapanda juu kwa mkewe.

Mapenzi yalivyomkolea alikuwa anapika chakula akitoka kazini na kumshushia mchepuko anapokwenda.

Stori nzima niliipata church mrs alipotoa ushuhuda jinsi shetani alivyotaka kuvunja ndoa yake, ndipo nilipowaza huyu mwanaume si ajabu hata kuoga hakuwa anawahi katika kusave muda.
 
Muda mwingine tunayowafanyia wake zetu tukifanyiwa sisi..tunaweza hata kuuwa....Kila siku naomba hisia zisiniongoze
 
Sky unazingua,wanawake wangapi wameolewa na bado wana michepuko kwa sana,sisi mbona hatusemi.
 
hahah naona bi dada upo 'in a position' murua ya kuwa napata habari za aina hii
 
halafu kuna jamaa kaleta uzi eti mtoto wa mazahouzi ana mzingua?! jaman haya maisha...
 
Back
Top Bottom