Mimi kama mdau wa masumbwi tena mdau wa muda mrefu nimesikitika sana na list hii ya mabondia 50 wa karne ya 21
Kuachwa kwa watu kama Dmitry Pirog, Dmitry Bivol, Murrat Gassiev wote kutoka Urusi ni jambo la kushangaza sana kwenye ulimwengu wa masumbwi,
Oleksandr Usyk huyu maestro wa ngumi ameshikilia mikanda mikubwa ya weight class tatu tofauti hivyo ni wazi kuwa anatakiwa awe mbele zaidi katika hiyo 50 bora
Hawa wa'Mexico Chavez Sr, Barera, Marque's, Morales basi japo wawili kati ya hao wanne wangetakiwa wawepo kwenye top10, pia huyu Chavez Jr amefuata nini huku top50...au ni jina la baba yake ndio limewachanganya?
Hata wa'Argentina wenyewe watakupinga kumuweka Maidana namba 42 afu Martinez 34, huwezi kumuweka Martinez juu ya Maidana kivyovyote vile
Sasa kama kwenye list kuna hadi Danny Garcia si bora awepo hata m'Kongomani Ilunga Makabu.
Sent using
Jamii Forums mobile app