Hawa Ndo Mabondia 50 Bora Zaidi Katika Karne ya 21

Mkali wa Ufilipino Manny Pacquiao amepigiwa kura nyingi zaidi kama bondia bora katika karne ya 21 mbele ya mpinzani wake Floyd Mayweather.

Mayweather, ambaye mara nyingi hufikiriwa kuwa mmoja wa Mabondia Bora kwenye historia, alimaliza nyuma ya mwamba wa Ufilipino katika nafasi ya pili.

Wakongwe wa ndondi kama Wladimir Klitschko, Mike Tyson na Lennox Lewis wote majina yao yameingia katika 10 bora.

Na nyota wa sasa kwenye uzani wa juu (Heavyweights) Anthony Joshua, Tyson Fury na Deontay Wilder wameorodheshwa ktk nafasi ya 22, 25 na 27.

Hapa nimeweka mabondia 50 bora wa karne hii: (Source: sportbible.com)

50. Brian Viloria49. David Lemieux

48. Arthur Abraham

47. Kubrat Pulev

46. Naseem Hamed

45. Denis Lebedev

44. Jermain Taylor

43. Tomasz Adamek

42. Marcos Maidana

41. Billy Joe Saunders

40. Kelly Pavlik

39. Guillermo Rigondeaux

38. Mikkel Kessler

37. Alexander Povetkin

36. Oleksandr Usyk

35. Danny Garcia

34. Sergio Martinez

33. Timothy Bradley

32. Julio Cesar Chavez Jr

31. Ricky Hatton

30. Carl Froch

29. Nonito Donaire

28. Amir Khan

27. Roman Gonzalez

26. Deontay Wilder

25. Terence Crawford

24. Tyson Fury

23. Shane Mosley

22. Julio Cesar Chavez

21. Anthony Joshua

20. Erik Morales

19. Marco Antonio Barrera

18. Juan Manuel Marquez

17. Vitali Klitschko

16. Sergey Kovalev

15. Andre Ward

14. Felix Trinidad

13. Vasyl Lomachenko

12. Canelo Alvarez

11. Miguel Cotto

10. Joe Calzaghe

9. Bernard Hopkins

8. Oscar de la Hoya

7. Lennox Lewis

6. Mike Tyson

5. Wladimir Klitschko

4. Roy Jones Jr

3. Gennady Golovkin

2. Floyd Mayweather Jr

1. Manny Pacquiao.
G.O.A .T ni Floyd Mayweather .
 
Mohamad alii alikua anacheza mpira nini mbona kwenye list hayupo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiyo imewekwa kwa wacheza ngumi wote haijalishi uzito wala nn, kama unavyoona kwenye mpira tuzo ya baron d'or huwa anachukua mmoja haijalishi kiungo ama beki
Mkuu, unajua kuwa Kocha akiamua Beki Erasto Nyoni Leo acheze number 9 atacheza??,lakini hakuna pambano unaweza kuandaa Pacquiao apambane Anthony Joshua.Tafuta Utetezi mwingine huo wa soka Achana nao

Lete Source ya habari yako, hizi kura zilipigwa lini na wapi!!Unaweza kukuta ni mtandao wa udaku nchini Indonesia huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kama mdau wa masumbwi tena mdau wa muda mrefu nimesikitika sana na list hii ya mabondia 50 wa karne ya 21

Kuachwa kwa watu kama Dmitry Pirog, Dmitry Bivol, Murrat Gassiev wote kutoka Urusi ni jambo la kushangaza sana kwenye ulimwengu wa masumbwi,

Oleksandr Usyk huyu maestro wa ngumi ameshikilia mikanda mikubwa ya weight class tatu tofauti hivyo ni wazi kuwa anatakiwa awe mbele zaidi katika hiyo 50 bora

Hawa wa'Mexico Chavez Sr, Barera, Marque's, Morales basi japo wawili kati ya hao wanne wangetakiwa wawepo kwenye top10, pia huyu Chavez Jr amefuata nini huku top50...au ni jina la baba yake ndio limewachanganya?

Hata wa'Argentina wenyewe watakupinga kumuweka Maidana namba 42 afu Martinez 34, huwezi kumuweka Martinez juu ya Maidana kivyovyote vile

Sasa kama kwenye list kuna hadi Danny Garcia si bora awepo hata m'Kongomani Ilunga Makabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiyo imewekwa kwa wacheza ngumi wote haijalishi uzito wala nn, kama unavyoona kwenye mpira tuzo ya baron d'or huwa anachukua mmoja haijalishi kiungo ama beki
Utetezi usio na ujuzi wa mchezo wa ngumi.....
 
Mimi kama mdau wa masumbwi tena mdau wa muda mrefu nimesikitika sana na list hii ya mabondia 50 wa karne ya 21

Kuachwa kwa watu kama Dmitry Pirog, Dmitry Bivol, Murrat Gassiev wote kutoka Urusi ni jambo la kushangaza sana kwenye ulimwengu wa masumbwi,

Oleksandr Usyk huyu maestro wa ngumi ameshikilia mikanda mikubwa ya weight class tatu tofauti hivyo ni wazi kuwa anatakiwa awe mbele zaidi katika hiyo 50 bora

Hawa wa'Mexico Chavez Sr, Barera, Marque's, Morales basi japo wawili kati ya hao wanne wangetakiwa wawepo kwenye top10, pia huyu Chavez Jr amefuata nini huku top50...au ni jina la baba yake ndio limewachanganya?

Hata wa'Argentina wenyewe watakupinga kumuweka Maidana namba 42 afu Martinez 34, huwezi kumuweka Martinez juu ya Maidana kivyovyote vile

Sasa kama kwenye list kuna hadi Danny Garcia si bora awepo hata m'Kongomani Ilunga Makabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nime duwaa wale Mexican hawapo
Hata Juan Manuel cortto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, unajua kuwa Kocha akiamua Beki Erasto Nyoni Leo acheze number 9 atacheza??,lakini hakuna pambano unaweza kuandaa Pacquiao apambane Anthony Joshua.Tafuta Utetezi mwingine huo wa soka Achana nao

Sent using Jamii Forums mobile app
kuhusu Anthony Joshua akiamua kucheza na Pacquiao inawezekana coz mmoja atapanda weight au mwngne atashuka, inategemea na mazingira kwa sababu kuna wapiganaji wengi wamepigana weight tofauti. point ni kwamba unalazimisha waweke mafungu kuwa wenye uzito wa chini, wa kati na wa juu wawekwe kwenye category tofauti, hiyo kitu unaweza ukafanya wewe kwa ubongo wako, ila kwao hiyo list wameona iko sahihi. nilikupa mfano wa kwenye mpira kwa sababu kule huwezi kumshindanisha Roberto Carlos na Zidane kwa sababu walicheza namba tofauti ila inapokuja tuzo ya mchezaji bora (balon d'or) wanagombea pamoja, na hta kwenye list ya wachezaji wakali wa mda wote pia watakuwa pamoja. kwa msaada zaidi pitia kichwa cha habari tena
 
Mimi kama mdau wa masumbwi tena mdau wa muda mrefu nimesikitika sana na list hii ya mabondia 50 wa karne ya 21

Kuachwa kwa watu kama Dmitry Pirog, Dmitry Bivol, Murrat Gassiev wote kutoka Urusi ni jambo la kushangaza sana kwenye ulimwengu wa masumbwi,

Oleksandr Usyk huyu maestro wa ngumi ameshikilia mikanda mikubwa ya weight class tatu tofauti hivyo ni wazi kuwa anatakiwa awe mbele zaidi katika hiyo 50 bora

Hawa wa'Mexico Chavez Sr, Barera, Marque's, Morales basi japo wawili kati ya hao wanne wangetakiwa wawepo kwenye top10, pia huyu Chavez Jr amefuata nini huku top50...au ni jina la baba yake ndio limewachanganya?

Hata wa'Argentina wenyewe watakupinga kumuweka Maidana namba 42 afu Martinez 34, huwezi kumuweka Martinez juu ya Maidana kivyovyote vile

Sasa kama kwenye list kuna hadi Danny Garcia si bora awepo hata m'Kongomani Ilunga Makabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
s

sitetei wala sipingi.
 
kuhusu Anthony Joshua akiamua kucheza na Pacquiao inawezekana coz mmoja atapanda weight au mwngne atashuka, inategemea na mazingira kwa sababu kuna wapiganaji wengi wamepigana weight tofauti. point ni kwamba unalazimisha waweke mafungu kuwa wenye uzito wa chini, wa kati na wa juu wawekwe kwenye category tofauti, hiyo kitu unaweza ukafanya wewe kwa ubongo wako, ila kwao hiyo list wameona iko sahihi. nilikupa mfano wa kwenye mpira kwa sababu kule huwezi kumshindanisha Roberto Carlos na Zidane kwa sababu walicheza namba tofauti ila inapokuja tuzo ya mchezaji bora (balon d'or) wanagombea pamoja, na hta kwenye list ya wachezaji wakali wa mda wote pia watakuwa pamoja. kwa msaada zaidi pitia kichwa cha habari tena
Wewe ndio umechanganya madesa kabisaaaaaa, hii ni professional boxing na hata amateur boxing pia hilo pambano haliwezi kutokea

Haiwezekani na narudia tena haiwezekani kwa watu hao wawili kukutana kivyovyote vile ndani ya ulingo

AJ hawezi kutoka uzito wa heavyweight ashuke hadi lightweight au light middleweight ambayo PacMan ndio yupo, na ni hivyo hivyo kwa PacMan

Physical features zinachangia moja kwa moja mtu apiganie uzito gani mtu kama AJ ni jitu la miraba lenye urefu zaidi ya futi6.5 ukilinganisha na PacMan anduje ambae hata mimi mwenye futi6.0 nikiamua kumkazia namkalisha vizuri tu

Kwenye historia ya ngumi za kulipwa haijawahi kutokea mtu mwenye futi 6.5 kupigana lightweight na mtu mwenye futi za PAC Man kupigana heavyweight, Tyson ni moja kati ya heavyweight wafupi kuwahi kutokea na ni 5'10 sawa na samatta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulinganisha watu waliokuwepo kwenye weight class tofauti wanatumia kitu kinaitwa "pound for pound" mimi pia sijui wana calculate vipi ila kuna formula za hesabu ndio wazotumia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndio umechanganya madesa kabisaaaaaa, hii ni professional boxing na hata amateur boxing pia hilo pambano haliwezi kutokea

Haiwezekani na narudia tena haiwezekani kwa watu hao wawili kukutana kivyovyote vile ndani ya ulingo

AJ hawezi kutoka uzito wa heavyweight ashuke hadi lightweight au light middleweight ambayo PacMan ndio yupo, na ni hivyo hivyo kwa PacMan

Physical features zinachangia moja kwa moja mtu apiganie uzito gani mtu kama AJ ni jitu la miraba lenye urefu zaidi ya futi6.5 ukilinganisha na PacMan anduje ambae hata mimi mwenye futi6.0 nikiamua kumkazia namkalisha vizuri tu

Kwenye historia ya ngumi za kulipwa haijawahi kutokea mtu mwenye futi 6.5 kupigana lightweight na mtu mwenye futi za PAC Man kupigana heavyweight, Tyson ni moja kati ya heavyweight wafupi kuwahi kutokea na ni 5'10 sawa na samatta

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungejua maana ya pound for pound usingebisha.
 
Back
Top Bottom