Niwekee pm basiWeeh.. Niweke picha yangu hadharani mniloge?[emoji3]
Maneno mengine mtu hata hujui ufurahi au uchukie... maana yalivyo hujui kama ndo shatukanwa au umesifiwa...!!! yaani, basi tu...
Kama mie na baby wangu watoto wetu lazima wasome PCMNimewaza tu kama vile nyumba moja, baba alisoma PCM, mama naye alisoma PCM na mtoto naye PCM
Asituchoshe. [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anatuzingua huyu [emoji3]
Inauma sana kaka! Hujui tu.Mkuu mbona matusi tena. Umekasirika kutokuwa kwenye kundi la ma hb ?
Beb wangu ni handsome balaa na hatumii picha za watu wengine humu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inauma sana kaka! Hujui tu.
We demiss hujaniona ninafananaje mimi..
Laiti Ungeniona nilivyo nahisi hata huyo mganga wako ungemuacha[emoji3][emoji3][emoji3]
Na bado. Mtapata tabu sanaa [emoji23][emoji23][emoji23]Na we umeshapata babe humu tutakoma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inawezekana, maana ataanza kwa kwenda na baba yake maporini kutafuta matunguliMganga naye atakuwa
Inauma sana kaka! Hujui tu.
Hiyo ni fake avatar nakwambiaMumeo yupo kwenye avatar yake na miwani yake bila shaka anaonekana kibonge na huwa hakosi kubeba mkoba begani sasa tunashangaa unatuletea huyo bwana mdogo wkt babu mashavu yashaanza kuomba poo.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio mmiliki wa ziggoTafadhali mganga asije akakuona
Na bado. Mtapata tabu sanaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahaaa. Mtu anaweka avatar jamani mzuriiii hadi unadata na avatar. Kumbee yeye na avatar ni 100 na -100000Halafu kweli mnaoweka ma avatar mabaya ndio mahandsome kweli
Halafu pm zangu kwa nn haunijibu nimekukosea nn au sababu umeshajua nakupenda we babuInawezekana, maana ataanza kwa kwenda na baba yake maporini kutafuta matunguli