Hawa ndo mahandsome wa JamiiForums

Hawa ndo mahandsome wa JamiiForums

Ue makin na haya mashambalai kuna nzuri na mabovu, unafika daaa utumbo , bandama vimehamia kifuani na ulivyo mrembo sasa, kuna moja hio ina makonda wana sura chafuu hatari, ukimpa nauli baadae ukidai/ukiulizia chench akigeuka tu ukimwangalia usoni utashaanga unabadilisha maelezo " samahani baba unanidai sh ngap?"
Nikishuka moja kwa moja naamsha dar sina mda wa kukaa halafu naondokea mlalo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ue makin na haya mashambalai kuna nzuri na mabovu, unafika daaa utumbo , bandama vimehamia kifuani na ulivyo mrembo sasa, kuna moja hio ina makonda wana sura chafuu hatari, ukimpa nauli baadae ukidai/ukiulizia chench akigeuka tu ukimwangalia usoni utashaanga unabadilisha maelezo " samahani baba unanidai sh ngap?"

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha
 
Back
Top Bottom