reyzzap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,813
- 21,807
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikishuka moja kwa moja naamsha dar sina mda wa kukaa halafu naondokea mlalo
Nikishuka moja kwa moja naamsha dar sina mda wa kukaa halafu naondokea mlalo
HahahahaUe makin na haya mashambalai kuna nzuri na mabovu, unafika daaa utumbo , bandama vimehamia kifuani na ulivyo mrembo sasa, kuna moja hio ina makonda wana sura chafuu hatari, ukimpa nauli baadae ukidai/ukiulizia chench akigeuka tu ukimwangalia usoni utashaanga unabadilisha maelezo " samahani baba unanidai sh ngap?"
Sent using Jamii Forums mobile app