Hawa ndo mahandsome wa JamiiForums

We demiss hujaniona ninafananaje mimi..
Laiti Ungeniona nilivyo nahisi hata huyo mganga wako ungemuacha[emoji3][emoji3][emoji3]
Aiseeee sasa nitakuonaje jaman?
Maneno matupu hayanogi bila kapicha
 
Maneno mengine mtu hata hujui ufurahi au uchukie... maana yalivyo hujui kama ndo shatukanwa au umesifiwa...!!! yaani, basi tu...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…