Nitarud ngoja nipikee kwanza[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu siku nyingine usirudie kupost picha ukiwa na shati lako la waimba kwaya...AIC Chang'ombe...I'm joking [emoji23]
Umependeza sana mkuu, afu umefanana na huyo mshkaji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona upinzani umekua mkubwa...unapingwa sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ebu waonyeshe mfano. Weka pic ya shemeji yetu.Hizo picha mbona za celebs wa nje?? Tuwekee picha zao tafadhali
Kumbe upo hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I'm single. Labda za ex [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Ebu waonyeshe mfano. Weka pic ya shemeji yetu.
NipooKumbe upo hahaha
Asante mwaaaaaMwaaàaaa karibu
Hapana jamani mm muoga na huu mkuyenge wanguHahaha unaogopa nini we mtu mzima
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mmmh haya ngoja tutafute mahandsome
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja nikae kimya tu!mrs humble
Huyo huyo sio mbaya. Najua huwa hukosei kuchagua kitu super.I'm single. Labda za ex [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
we si huwapendi ...ngoja uzae watoto wenye sura za baba zao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuyenge au kibamia??Hapana jamani mm muoga na huu mkuyenge wangu
Lazima uchanganye, sura ya baba lazima utafute handsome [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Sura ya baba maaa ndo maana napenda handsome
we si huwapendi ...ngoja uzae watoto wenye sura za baba zao
Wa kwanza kabisa kwenye hiyo list ya sisi mahandsome boy...[emoji23] [emoji23][emoji2] [emoji2] mskaji yupi tena
Mkuyenge au kibamia??
Haaa haaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] msalimie huyo mchepuko wakoHahahahahahaha mchepuko wangu wa Dodoma