England anatoka.
Dah...huu Uzi ni "takataka" kama Mimi simo kwenye list....[emoji31]Povu ruksaaa
Fainali ufaransa na croatiaMmeanza na uchawi wenu
list yako ShunieMmeanza na uchawi wenu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kichwa sana weweHii comment yako inamkatisha tamaa sana mtukanaji.
Maana lengo la kutukana ni kutaka ukasirike sasa usipokasirika tusi linakuwa halina maana tena. [emoji23]
Fainali ufaransa na croatia
Tubet basi..Hakunaaa
Tubet basi..
Hahaha ,Anasifiwa madorali
Hapo tupo sawa au nimekosea nasubiria jibu lakooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwenye tobo la mbele k
Uzi nimeupenda ghafla
Hahahaa...! Wahuni hao hawajui kubetHalafu badae unikimbie sinaga bahati na wanaume wa humu tunabet nikishinda wanakimbia eti ilikuwa utani
ya mahandsome zako shunieList ya nn tena Rijal
Omba usikutane nami kwenye chocho maana kwa sura ngumu utajiharishia fasta1.View attachment 803829
Mshana Jr
2.View attachment 803830
GuDume
3.View attachment 803832
Mr Miller
4.View attachment 803833
Hazard fc
5.View attachment 803834
Humble African
Kwa hisani yangu kwa mara ya kwanza nimekutana na mahanshaamy kutoka Jf wengine loooh sura ngumu kama chochoro za Mwananyamala koma koma.
Demiss Malaikaa.
ya mahandsome zako shunie
Hahahaa...! Wahuni hao hawajui kubet
Hahahaha1.View attachment 803829
Mshana Jr
2.View attachment 803830
GuDume
3.View attachment 803832
Mr Miller
4.View attachment 803833
Hazard fc
5.View attachment 803834
Humble African
Kwa hisani yangu kwa mara ya kwanza nimekutana na mahanshaamy kutoka Jf wengine loooh sura ngumu kama chochoro za Mwananyamala koma koma.
Demiss Malaikaa.
Mm na mahandsome tofauti