Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
WoiiMm nasema wanapita sh ngapi unatoa
We unataka kunipa sh ngapi naweza kutaja kubwaWoii
Niliingia pori mimi ...sema sh ngapi basi maana mmeshinda [emoji3][emoji3]
Nipm namba ya TigopesaWe unataka kunipa sh ngapi naweza kutaja kubwa
Nipm namba ya Tigopesa
Pm number bhanaT kuwa serious sio nipm uingie mitini
Pm number bhana
Ya heineken tuu..[emoji3][emoji3]Nimeshakupm utume nyinginyingi sasa
Ya heineken tuu..[emoji3][emoji3]
Hahaha...!Heineken huku kwetu moja elf 5 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa tusiumizane kichwa
Hahaha...!
Huku kintiku wanauza Elfu 8 ni flat rate kila kitu...ukiagiza maji ya kilimanjaro , soda au beer ni buku 8 [emoji3][emoji58][emoji58][emoji58]
Hahahaa! Huyo wa maji na redbull mpe polee..Eeenh umenikumbusha juzi kati nilikuwa captown fish nilikunywa heineken elf 7 rafiki angu akaagiza maji madogo elf 4 na redbull [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heineken ngapi ulikunywa ?Eeenh umenikumbusha juzi kati nilikuwa captown fish nilikunywa heineken elf 7 rafiki angu akaagiza maji madogo elf 4 na redbull [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yeye hanywi pombeHahahaa! Huyo wa maji na redbull mpe polee..
5 mkuuHeineken ngapi ulikunywa ?
Chache hizo5 mkuu
Zilinitosha sanaChache hizo
Safi ,mie Heineken sinywi ,bia ni Serengeti ,au kill ,pombe Kali konyagi kwa huko home,huku ni Skoll au PrimusZilinitosha sana
Mm ni Heineken tu hayo mambo makali siyaweziSafi ,mie Heineken sinywi ,bia ni Serengeti ,au kill ,pombe Kali konyagi kwa huko home,huku ni Skoll au Primus