Hawa ndo Marais wabovu zaidi kuwahi kutokea Marekani. Donald Trump yupo kwenye top 3

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu habarini za muda huu,

Kwenye raundi zangu mbili tatu huko mtandaoni, nilikutana na article kutoka CBS News ambayo inaelezea wakina nani walikuwa na marais wabovu zaidi kuwahi kutokea Marekani, tangu nchi hiyo kupata uhuru mwaka 1776.

Kulingana na CBS News, Rais mbovu na dhaifu kuwahi kutokea Marekani ni Andrew Johnson (1865 to 1869) akifuatiwa na James Buchanan (1867 to 1861) then Donald Trump (2017 to 2021)

Hii ndio top 10 ya Marais wabovu zaidi Marekani:

1. Andrew Johnson (1865-1869)​

2. James Buchanan (1857-1861)​

3. Donald Trump (2017-2021)​

4. Warren G. Harding (1921-1923)​

5. Franklin Pierce (1853-1857)​

6. William Henry Harrison (1841)​

7. John Tyler (1841-1845)​

8. Millard Fillmore (1850-1853)​

9. Herbert Hoover (1929-1933)​

10. Zachary Taylor (1849-1850)​

Soma Pia: Russia ndio wanaichagulia Marekani Rais akiwa tofauti wanamng'oa

Unadhani Donald Trump anafaa kuwa kwenye orodha hii wamemuonea?
 
Biden yupo wapi?kama kwenye list yako hayumu hiyo list ni batili
 
Ubovu kwa vigezo vipi?Hiyo nayo ni kampeni ya kumchafua Trump.
 
Unaripoti kutoka Vianzi Mkuranga au Buza Kwa Mpalange?

Kiherehere tu
 
Unaripoti kutoka Vianzi Mkuranga au Buza Kwa Mpalange?

Kiherehere tu

Hili ni jukwaa la INTERNATIONAL. Mtu anaandika uzi kuhusu mambo ya kimataifa unatoka na povu.

Kwa hiyo kila mtu akiandika uzi kwenye jukwaa hili ni kiherehere?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…