Wakuu habarini za muda huu,
Kwenye raundi zangu mbili tatu huko mtandaoni, nilikutana na article kutoka CBS News ambayo inaelezea wakina nani walikuwa na marais wabovu zaidi kuwahi kutokea Marekani, tangu nchi hiyo kupata uhuru mwaka 1776.
Kulingana na CBS News, Rais mbovu na dhaifu kuwahi kutokea Marekani ni
Andrew Johnson (1865 to 1869) akifuatiwa na
James Buchanan (1867 to 1861) then
Donald Trump (2017 to 2021)
Hii ndio top 10 ya Marais wabovu zaidi Marekani:
1. Andrew Johnson (1865-1869)
2. James Buchanan (1857-1861)
3. Donald Trump (2017-2021)
4. Warren G. Harding (1921-1923)
5. Franklin Pierce (1853-1857)
6. William Henry Harrison (1841)
7. John Tyler (1841-1845)
8. Millard Fillmore (1850-1853)
9. Herbert Hoover (1929-1933)
10. Zachary Taylor (1849-1850)
Soma Pia:
Russia ndio wanaichagulia Marekani Rais akiwa tofauti wanamng'oa
Unadhani Donald Trump anafaa kuwa kwenye orodha hii wamemuonea?