Hawa ndo Marais wabovu zaidi kuwahi kutokea Marekani. Donald Trump yupo kwenye top 3

Alipaswa kwa no moja
 
Nilifikiri kuwa utaandika pia kuwa ubovu wao ulitokana na nini, kumbe ni copy & paste. Too pathetic!
 
Nilifikiri kuwa utaandika pia kuwa ubovu wao ulitokana na nini, kumbe ni copy & paste. Too pathetic!
Nadhani hajui hii ni cheap campain kwa watu wenye akili ndogo. Usikute hata yeye hajui wabovu kwa sababu gani? Kaibeba tu.
 
Nadhani hajui hii ni cheap campain kwa watu wenye akili ndogo. Usikute hata yeye hajui wabovu kwa sababu gani? Kaibeba tu.
Ni kweli mkuu huyu dogo kabeba vitu ambavyo hata hawezi kuelezea kwa ufasaha. Eti kapiga raundi mbili tatu mtandaoni, kakutana na CBS News.
 
Mwaka 1840 unataka tujadili leo. Hatuko serious kabisa.
 
George bush na Obama umewasahau. Ni killers hao
 
Propaganda tu,biden ni mbovu sana hata vita vya ukraine ndie chanzo,kila kukicha kuisaidia ukraine kwa kutumia kodi za wamarekani.
 
Jamhuri ya Wadanganyika kuna Chura wa ovyo dunia nzima.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…