F16 Falcon
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 750
- 1,645
Tatizo hujamuona shemeji/wifi yako πKuna chuo fulani huko majuu kimetoa list yake ya "The most beutiful women in the world" na list ya ndo hii...
View attachment 2471064View attachment 2471066View attachment 2471067View attachment 2471068View attachment 2471069View attachment 2471070View attachment 2471071View attachment 2471072View attachment 2471073
Huyu si ni yule CLEOPATRA kabisa, aliyeimbwa kwenye wimbo .
Kuna la ten la karibu hapa hebu ni PM namba yako.Wanaume wanapenda wake zao sema tuu shetani huwa anawapitia chapuuu
NI HATARI
Aishwarya Rai,yaani wazuri wao wa kawaiidaaa sanaaaIla hawa wenzetu sijui uzuri wao huwa wanaangalia nini mimi hapo naona wa pili ndo mzuri zaidi na labda Deepika
[emoji16][emoji1787]Kama kwenye Listi hii hayupo mke wangu mama Manka ni Batili.
Yaas she is soo cuteDeepika ni mzuri sana
Kim zaidi ya plastic surgery hana uzuri wowote