Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,084
- 15,998
Unasema kweli?Kilichonifurahisha kwenye huu uzi ni comments za hivi; “ hawajamuona mke wangu, kama mke wangu hayupo uzi ni batili” yaani it’s so manly when a man flaunts about his wife.
Nikiwakilisha kina mama manka wooote duniani naombeni leo mkienda majumbani muwaoneshe hizo comments zenu. Hakika hamtonyimwa😂😂😂