Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
Hii list wakati inatoka wangekuja kumtazama , mke wangu kwanza zamani nlisikia hadithi kwamba mwanamke wa kwanza kwa uzuri alikuwa cleopatra yule kiongozi wa Misri bahati mbaya waandishi wa Historia hizo hawakumshuhudia mke wangu.
Tukirudi kwenye List hamna uzuri wowote zaidi ya Umaarufu walionao , zaidi zaidi ni MakeUp na Plastic surgery tu ambazo kinyume na kuongeza Uzuri hutia dosari kwenye Urembo
We prefer ladies wid their natural state