Hawa ndo wadada wazuri Duniani

Kwenye list kama hayupo Tems au Mke wa Ronaldo basi ifutwee tu.
 
Ila hawa wenzetu sijui uzuri wao huwa wanaangalia nini mimi hapo naona wa pili ndo mzuri zaidi na labda Deepika
Wapili kwenye list maybe. Naona baada ya namba moja imeruka hadi tatu. Namba mbili hamna.
 
Wanakuaje wazuri wakati hamna type yangu hata moja!!? Labda kwa mbaaali kimuonekano namba 5 na namba 10, the rest ni kama vinyago vilivyo chongwa bagamoyo, nimemaliza
 
Ila wanaume wa JF wabaguzi sana soo hamjaona mzuri hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…