Hawa ndo wadada wazuri Duniani

Kumbe kan look vizuri hivi?? Ila shikamoo mekapu..sema.hapo kwny list ametolewa kama alivyo akitoka kuoga
Yeah sio mbaya..kwenye series ya Squid game ametokea mrembo na hakuna make up mwanzo mwisho
 
Wazungu ni wabaya aisee basi tu wao ndio husikika zaidi ila madem wa kizungu ni wabovu kichizi.

Ni ile minywele tu ndo inawaidia ila wakinyoa nia vituko, tofauti na waafrica, wahindi na baadhi ya mataifa ni wazuri hata anyoe upara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…