Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
- Thread starter
- #141
Hee jamani mbona li pini likubwa sana?Wanakuaje wazuri wakati hamna type yangu hata moja!!? Labda kwa mbaaali kimuonekano namba 5 na namba 10, the rest ni kama vinyago vilivyo chongwa bagamoyo, nimemalizaView attachment 2471626