PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Tununu itolo kikoloUtwa isala isi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tununu itolo kikoloUtwa isala isi
Ila Wanyarwanda kwa uzuri ni wazuri sema wanafanana sana kama watoto waliozaliwa na mama mmojaTatizo wana makomwe sugu makubwa sana
Ni kweli sema hawa ni nchi nzima wanafanana. Sema kibongo bongo Rwanda ni kama mkoa mmoja wa Tanzania uliochangamka labda ndio maana wanafanana sanaMnaweza kuzaa watt wanafanana na wa jirani
Ariana ni mzuri kweli kweli.Ariana Grande
Deepika na Taylor swift hawa mademu nawa feel sana
Hasa Taylor na ariana
Na mie nimeshangaa eti hayupoo khaaaah.Where is Alicia Keys?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu nae mzuri? Sitaki kuchekaaa khaaah
List kama hayupo Tems, Lupita, ni ushuzi.Kuna chuo fulani huko majuu kimetoa list yake ya "The most beutiful women in the world" na list ya ndo hii...
View attachment 2471064View attachment 2471066View attachment 2471067View attachment 2471068View attachment 2471069View attachment 2471070View attachment 2471071View attachment 2471072View attachment 2471073
Sunny Leone 😍😍😍
Lips 👄 Though,
Ndio , nimejaribu bila mafanikio. kwakua mda wa kuingia tunapishana kwangu gone nipaache waziNipo Baba Mchungaji.
Unataka kufika kwangu nikufungulie mlango?
Nina karibia mwaka sasa sifikiki kirahisi. Amani [emoji1545]
Na mie nimeshangaa eti hayupoo khaaaah.
Kazi ipoKuna chuo fulani huko majuu kimetoa list yake ya "The most beutiful women in the world" na list ya ndo hii...
View attachment 2471064View attachment 2471066View attachment 2471067View attachment 2471068View attachment 2471069View attachment 2471070View attachment 2471071View attachment 2471072View attachment 2471073