Hawa ndo wadada wazuri Duniani

Hawa ndo wadada wazuri Duniani

I always go for black[emoji7]View attachment 2474967
.
Screenshot_20230103-212811_YouTube.jpg
 
1 Kwanza hapo anaemsogelea [mention]Kelsea [/mention] hayupo
2 kuna mmja ameboboka usoni kama anatumia jiko la kuni[emoji28]
 
Ukiacha Deepika na Kim waliobakia wote hata hiyo sifa ya uzuri hawana achilia kuwa wazuri Duniani.
 
Ukiacha Deepika na Kim waliobakia wote hata hiyo sifa ya uzuri hawana achilia kuwa wazuri Duniani.
Bwana weee acha tuu
Ila nimegundua macho ya kila mtu yanaona tofauti ila mkijikuta mnaona sawa basi hicho mnachoangalia kina extraordinary thing
 
🤣🤣🤣🤣🤣Yani wanaonesha sura eti ndio uzuri/urembo?sura hata mbizi anayo.watuoneshe bodiii😘minyama nyama kibao😘ndio shida zetu/zangu
 
🤣🤣🤣🤣🤣Yani wanaonesha sura eti ndio uzuri/urembo?sura hata mbizi anayo.watuoneshe bodiii😘minyama nyama kibao😘ndio shida zetu/zangu
Ahahah hizo ni shida kubwa za waafrica...ukipita minyamaa tuuu...unatingisha minyamaaa...kibongee
 
Back
Top Bottom