made in tanzania_
Senior Member
- Mar 4, 2025
- 114
- 147
Hawa ndo waekezaji wa kichina nchini Tanzania
- Wachina wanafungua car wash
- Wachina wanafungua supermarket
- Wachina wanafungua maduka ya kuuza bajaji na pikipiki
- Wachina wanafungua maduka ya rejareja
- Tender nyingi na kubwa wanapewa wachina
- Wachina wanafanya uchimbaji wa madini mdogo
- Wachina wameharibu bei vibaya mno ni ngumu kwa mfanyabiashara wa kitanzania kushindana nao
- Machina mteja anayetaka pisi moja anamuuzia sawa na anayetaka pisi 500
- Wachina swala la kodi hawalijui hawatoi risiti kabisa