Hawa ndo waekezaji wa kichina

Hawa ndo waekezaji wa kichina

She

Shida yeko wewe unalilia unedelee kulangua watu, yani wafanya biashara karibu wote wa bongo ukiwasikiliza hoja zao za msingi wanakwambia mchina kaaribu biashara eti kwakuwa anauza rahisi, yani rah yako ni wewe ama nyie muendelee kutuuzia kwa gharama za juu.

Shusha na wewe bei kupambana naye tena waje hata wakorea
Una-akili fupi sana sio kosa lako
 
Hawa ndo waekezaji wa kichina nchini Tanzania
  • Wachina wanafungua car wash
  • Wachina wanafungua supermarket
  • Wachina wanafungua maduka ya kuuza bajaji na pikipiki
  • Wachina wanafungua maduka ya rejareja
  • Tender nyingi na kubwa wanapewa wachina
  • Wachina wanafanya uchimbaji wa madini mdogo
  • Wachina wameharibu bei vibaya mno ni ngumu kwa mfanyabiashara wa kitanzania kushindana nao
  • Machina mteja anayetaka pisi moja anamuuzia sawa na anayetaka pisi 500
Sawa tu
 
kwani we hizo fursa si uzitumie? Au unachoweza ni kulalamika?
 
Kuna watanzania wenzetu wanafanya biashara sasa wageni wanamiliki kariba kila kitu kuna nchi hapo
Unachosema, ni sawa na kusema wazungu walipaswa kulalamika kuwa kwa nini kuna watumwa waafrika (weusi) ilhali kuna wazungu wanafanya kazi. Nchi haipo kwa ajili ya maslahi ya wafanyabiashara, bali kwa maslahi ya wananchi
 
Makubaliano ya mikataba... Na it can't be redone.
 
Wenye matatizo ya akili ni Baba na Mama yako waliozaa punguani kama wewe.
Kwamba umejiona mjanja kutukana wazazi wangu
Wewe mwenye akili tuonyeshe uliyoyafanya usikimbilie kutukana wazazi wangu hata hawana idea kama kuna mtu kama wewe
 
Unachosema, ni sawa na kusema wazungu walipaswa kulalamika kuwa kwa nini kuna watumwa waafrika (weusi) ilhali kuna wazungu wanafanya kazi. Nchi haipo kwa ajili ya maslahi ya wafanyabiashara, bali kwa maslahi ya wananchi
Wananchi ni pamoja na wafanyabiashara nchi zote duniani lazima zilinde wananchi wake ambao ni pamoja na wafanyabiashara
 
nilichojifunza ni kwamba sisi watu weusi ni wabaguzi mno na ubaguzi wetu unatokana na inferiority complex iliyokomaa kiasi cha kuitwa dhambi

Ukiona watu ambao unahisi ni superior kwako wanafanya kazi au biashara ambazo ni inferior na unahisi kwa uduni wa hizo kazi zilitakiwa zifanywe na watu weusi/wazawa ukienda dubai kazi zote za kipunda zinapigwa na wahindi na wanakula malipo dusko kinyama akija uku kwetu ukikutana muhindi dereva tax unaona kama niaje ila wewe unaona ni sawa kusafisha vyoo ughaibuni
 
Hunijui sikujui, unataka nikuonyeshe wapi niliyoyafanya?
Wewe siunajifanya unaakili onyesha cha maana ulichofanya
yaani wewe unachojua ni kutukana endelea kuporomosha matusi mbona umeacha ulifikiri mimi ni mjinga kama wewe ntakutukana sikutukani ng'o
We ni mjinga wa mwisho
 
nilichojifunza ni kwamba sisi watu weusi ni wabaguzi mno na ubaguzi wetu unatokana na inferiority complex iliyokomaa kiasi cha kuitwa dhambi

Ukiona watu ambao unahisi ni superior kwako wanafanya kazi au biashara ambazo ni inferior na unahisi kwa uduni wa hizo kazi zilitakiwa zifanywe na watu weusi/wazawa ukienda dubai kazi zote za kipunda zinapigwa na wahindi na wanakula malipo dusko kinyama akija uku kwetu ukikutana muhindi dereva tax unaona kama niaje ila wewe unaona ni sawa kusafisha vyoo ughaibuni
China kama ni mgeni hurusiwi kufanya biashara nyingi sana hakuna sehemu ngumu kufanya biashara kama China kama ni mgeni

China hata kwenda kiwandani kwa mgeni physical ni ngumu sana
Kwanini wao ni muhimu kulinda biaashara na ajira zao ila sisi waafrika haturusiwi
 
Hawa ndo waekezaji wa kichina nchini Tanzania
  • Wachina wanafungua car wash
  • Wachina wanafungua supermarket
  • Wachina wanafungua maduka ya kuuza bajaji na pikipiki
  • Wachina wanafungua maduka ya rejareja
  • Tender nyingi na kubwa wanapewa wachina
  • Wachina wanafanya uchimbaji wa madini mdogo
  • Wachina wameharibu bei vibaya mno ni ngumu kwa mfanyabiashara wa kitanzania kushindana nao
  • Machina mteja anayetaka pisi moja anamuuzia sawa na anayetaka pisi 500
  • Wachina swala la kodi hawalijui hawatoi risiti kabisa
Acha kulialia kijana. Hapo ulipoandika unayo point moja tu. Bullet ya mwisho kuhusu kodi. Wachina wako dunia nzima na wanafanya umachinga kadri ya mazingirq wanayoyakuta

Ila kama wachina hawalipi kodi, toa taarifa kwenye mamlaka husika.
 
Hawa ndo waekezaji wa kichina nchini Tanzania
  • Wachina wanafungua car wash
  • Wachina wanafungua supermarket
  • Wachina wanafungua maduka ya kuuza bajaji na pikipiki
  • Wachina wanafungua maduka ya rejareja
  • Tender nyingi na kubwa wanapewa wachina
  • Wachina wanafanya uchimbaji wa madini mdogo
  • Wachina wameharibu bei vibaya mno ni ngumu kwa mfanyabiashara wa kitanzania kushindana nao
  • Machina mteja anayetaka pisi moja anamuuzia sawa na anayetaka pisi 500
  • Wachina swala la kodi hawalijui hawatoi risiti kabisa
Wewe umekatazwa kwenda china kuyafanya hayo yote uliyoyaorodhesha.
Dunia haina mipaka kwa wenye uthubutu!
 
Tanzania ni kama Mkoa ndani ya China
Chadema ndani mmewekeza nini cha kuongeza kodi za serikali na ajira?

Mbachojua ni kukamua watu tu pesa zao kupitia tone tone

Wacheni hao wachiba waajiri watu ambao mwaweza wakamua hizo tone tone zenu za kitapeli
 
Back
Top Bottom