Hizi ndo akili za mwafrika furaha yake ni kuona wenzake wanateseka na akipata shida anataka aliowaombea mabaya wamsaidie
Hapana hao walikuwa wanauza kwa Bei juu mno, blenda inafika dukani kwa 35k wao wanauza 87k so mchina anauza 40k anapata 5k. Hao jamaa kwanza waliokuwa wanauza kwa 87k walikuwa hawawatakii mazuri Hawa watanzania so saivi imegeuka kwao.
Iko ivi bro moyo unalipa ulichopewa. Yaani unaweza ukawa tajiri na ukapendwa na masikini ni namna ya wewe unavyoishi na jamii yako, ukiwa unabadilisha magari sio tiketi ya kuwadharau wanapanda daladala. Sasa wacheke later ukikosa hiyo gari na wao lazima watakucheka.
Sikia na elewa hufundishi moyo kitu wenyewe unajua cha kufanya, ulichopanda unavuna icho icho.
If you need love give more love ,if you need more respect give more respect, if you wanna protection give more etc
Listen we tend and we always receive 2-10 times of what we planted on the ground bro.
Check mbegu moja ya mahindi ukiipanda inatoa mahindi mangapi. The same applied to human life.
To every action there's an equal and opposite reaction.
If a body is in system of equilibrium Sasa disturb that system yenyewe itaj balance , mtu Yuko calm emotionally wewe disturb him mpe furaha Naye atakupa furaha zaidi Mana umemuwekea kitu kigeni kwake like new electrons so lazima akitoe ili aendelee kwenye equilibrium ki Kani ama ki hisia