Hawa ndo waekezaji wa kichina

Hawa ndo waekezaji wa kichina

Ni kipi waafrika wamefanikiwa kufanya wenyewe pasipo usaidizi wowote wa kifedha au kitaalamu kutoka kwa wazungu?

Toothpicks tu zinaagizwa nje!!
Sasa hakuna
Wewe ni kipi ulichofanya cha maana mpaka uwe na audacity ya kudharau waafrika kwa kiwango kikubwa
 
Sasa hakuna
Wewe ni kipi ulichofanya cha maana mpaka uwe na audacity ya kudharau waafrika kwa kiwango kikubwa
Sijafanya kitu.

Sasa nieleze wewe ni kipi umefanya au ni kipi waafrika wamefanikiwa kufanya wenyewe pasipo usaidizi wowote ule wa kifedha au kitaalamu kutoka kwa wazungu?
 
Sijafanya kitu.

Sasa nieleze wewe ni kipi umefanya au ni kipi waafrika wamefanikiwa kufanya wenyewe pasipo usaidizi wowote ule wa kifedha au kitaalamu kutoka kwa wazungu?
Wewe ni mjinga sana
Wewe sikila siku unatutuhumu wafrika hatuna akili nikuonyeshe kipi ilihali unatutuhumu hatuna akili kila siku

Wewe ndo utuonyeshe cha maana ulichofanya sababu unatutuhumu wafrika hatuna akili
 
Biashara nyingi za kibongo zilikuwa za wizi wizi sasa Mungu kutuletea wachina wacha waaweke sana mmetuibia sana wezi wakubwa nyie hasa wachaga

USSR
Wezi mno acha wachina wauze
 
Hao unaowatuhumu ni wezi wengine ni ndugu zako, rafiki zako, classmate na ukipata shida ndo wa kwanza kukusaidia na sio wachina
Hapana hawahurumii watz wenzao wanaongeza gharama mara kumi acha wachina warahisishe mambo
 
China kama ni mgeni hurusiwi kufanya biashara nyingi sana hakuna sehemu ngumu kufanya biashara kama China kama ni mgeni

China hata kwenda kiwandani kwa mgeni physical ni ngumu sana
Kwanini wao ni muhimu kulinda biaashara na ajira zao ila sisi waafrika haturusiwi
kazi wanazozifanya wabongo nchi za watu unazijua najua game is game bro
 
China angeruhusu wazungu waingie nchini kwake kufanya biashara kama sisi tunavyowaruhuru wa China hadi leo angekuwa wangekuwa manamba wa makampuni ya wazungu.
 
Hapana hawahurumii watz wenzao wanaongeza gharama mara kumi acha wachina warahisishe mambo
China angeruhusu wazungu waingie nchini kwake kufanya biashara kama sisi tunavyowaruhuru wa China hadi leo angekuwa wangekuwa manamba wa makampuni ya wazungu.
 
China kama ni mgeni hurusiwi kufanya biashara nyingi sana hakuna sehemu ngumu kufanya biashara kama China kama ni mgeni
Uongo ni pesa yako tu
Mfano pikipiki ukienda kiwandani unaruhusiwa kununua ila order unatakiwa kuanzia kiwango cha chini pikipiki 100 kwa viwanda vingi
 
China angeruhusu wazungu waingie nchini kwake kufanya biashara kama sisi tunavyowaruhuru wa China hadi leo angekuwa wangekuwa manamba wa makampuni ya wazungu.
Huelewi kitu mfano kampuni nyingi za simu na computer za ya ulaya na Marekani ziiko China
 
Hao unaowatuhumu ni wezi wengine ni ndugu zako, rafiki zako, classmate na ukipata shida ndo wa kwanza kukusaidia na sio wachina
Ununue cha elfu 10 kwa duka la mchina kwake anakuuzia kwa laki mbili.halafu ukiwa na shida anakupa elfu 30 ndio msaada huo? Ujinga mtupu.Wacha wachina wauze
 
Zambia huko wanalima hadi kabichi.
Soon mtawaona bondeni msimbazi hapo wanalima mchicha ndo mtajua hamjui.
 
Zambia huko wanalima hadi kabichi.
Soon mtawaona bondeni msi.bzi hapo wanalima mchicha ndo mtajua hamjui.
Hamna shida kama wenyeji hawataki kulima wacha waje tu

Mbona Dar wageni toka mikoani wapo kibao wanaolima mchicha na kufuga kuku sababu wenyeji wazaramo hawataki kulima mchicha wala kufuga kuku wakati watu wanahitaji mchicha na kuku

Sawa tu hamna shida
 
Kuna mambo mengi huyajui hao wafanyabiashara wa kibongo wengine ni ndugu zako, marafiki zako, majirani zako, wengine classmate ambapo hata ukipata shida hawa ndo wakwanza kukusaidia na sio wachina
Mkuu una hoja ila unaiwasilisha kizembe. Hizo bidhaa za bei ndogo wanazouza wachina wanunuzi sio watanzania? Mtanzania akinunua pisi 500 kwa mchina, anaenda kuzivaa yeye mwenyewe hizo pisi zote au anaziuza (biashara)? Sasa kama watanzania wanafaidika na uwepo wa wachina huoni andiko lako linakuwa la kinyonyaji kutaka bidhaa ziuzwe bei ghali kwa kuwa tu wafanyabiashara ni ndugu zangu na sio wachina!!
 
Back
Top Bottom