hawa ndo waliopata vyuo kweupeeee....!!

Vangiporini

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
327
Reaction score
310
Nimekaa nikafikiria sana kwamba hawa jamaa waliopona kwenye second reapplication washapata vyuo tayari ila tu ndo wasubiri kujua wamechaguliwa wapi......Lakini pia hata hawa jamaa zetu waliotakiwa kufany application round ya pili,ubaya ni kwamba watalazimika kujaza course wasizo zipenda.....ila advantage yao ni kwmb kwa kua wanatakiwa kujaza only one course kutoka kwnye chuo kimoja tuu! basi bla shaka ndo atachaguliwa course hyo hyo.Kumbukeni bado jambajamba ya loan board.....kwel mwaka hu utakua mrefuuuu!
 
Wako wapi hao waliopata vyuo! Re-phrase your title otherwise kaiweke kule FB!
 
Kumbuka nimesema "hawa ndo waliopata vyuo" ila cjasema "haya ndo majina ya waliopata vyuo"fikiria kwanza co mbiombio ksa kuna link ya kureply!
 
hahaha hawa ndo x form 6 kila siku nyuzi za tcu na heslb
 
Kwaiyo wewe ukisema, hawa ndo walichaguliwa si ndo pakuwaonesha bhana? acha masihara yako ya fb humu ndani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…