Vangiporini
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 327
- 310
Nimekaa nikafikiria sana kwamba hawa jamaa waliopona kwenye second reapplication washapata vyuo tayari ila tu ndo wasubiri kujua wamechaguliwa wapi......Lakini pia hata hawa jamaa zetu waliotakiwa kufany application round ya pili,ubaya ni kwamba watalazimika kujaza course wasizo zipenda.....ila advantage yao ni kwmb kwa kua wanatakiwa kujaza only one course kutoka kwnye chuo kimoja tuu! basi bla shaka ndo atachaguliwa course hyo hyo.Kumbukeni bado jambajamba ya loan board.....kwel mwaka hu utakua mrefuuuu!