Kuna moja anaitwa Mateo Qaresi aliwaahidi watu kuwaletea umeme.ikaja uchaguzi mwingine akaanza tena kuomba kura.,akaulizwa maswali.
Mmama(mwananchi):we tangu ulipopata kura uchaguzi uliopita hukuonekana tena jimboni je tukikupa kura tena si ndo
hurudi?
Mbunge:We mmama unataka kila saa niwafuatilie nye tu nisifanya kazi za serikali?au ulitaka niwe napiga picha na wewe?
Mwananchi mwengine:uliahidi umeme mpaka leo hamna,halafu unaomba tena kura,mambo si yale yale?
Mbunge:sasa kama hamjajenga nyumba za maana nikileta umeme niwafungie nyaya kwenye masikio?
Mkuu huyo alikuwa ni mbunge wetu toka kanda ya ziwa na sasa ni marehemu, Ernest Nyanda, kwenye umeme anatolea mfano sasa unataka mimi nipeleke umeme kwenye jumba kama kale kanyasi na ukimuuliza kuhusu barabara anakuuliza wewe una gari mpaka unataka barabara na mwishoni anawachana hata msiponipigia kura mimi nitashinda tu na jamaa alikuwa anashinda kweli mpaka alipokufa 2001 ndo akapoteza ubunge.Kuna moja anaitwa Mateo Qaresi aliwaahidi watu kuwaletea umeme.ikaja uchaguzi mwingine akaanza tena kuomba kura.,akaulizwa maswali.