Hawa ndugu zetu wanaosema wanaotesha nywele kwenye vipara ni kweli wadau au wanatuibia

Hawa ndugu zetu wanaosema wanaotesha nywele kwenye vipara ni kweli wadau au wanatuibia

CMBC Mlalahoi

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
222
Reaction score
69
Samahani wadau,

Hivi kuna mtu amewahi kutumia mafuta ya kuotesha nywele kwenye kipara na yakamsaidia kweli au ni uongo tu wa hawa watu ili wajiingizie kipato, tafadhali kama kuna mdau amewahi kufanikiwa anijuze!
 
Samahani wadau, hivi kuna mtu amewahi kutumia mafuta ya kuotesha nywele kwenye kipara na yakamsaidia kweli au ni uongo tu wa hawa watu ili wajiingizie kipato, tafadhali kama kuna mdau amewahi kufanikiwa anijuze!

Mafuta gani ayo ndugu?
Kama yapo tujuzane maana kukaa na vipara sio ishu kabisa mkuu
 
Nimetumia binafsi imeniondolea kipara yaani nafuga Afro kabisaa
Ila hapa nchini kwetu mm sijui Kama inapatikana mm nilichukua India
 
Jamani kwanini isifike wakati mtu ukajikubali vile ulivyo? Maana Mungu amekuumba hivyo.Mimi kipara naona kiko poa kabisa ,kwanza inaonyesha una Elimu ya kutosha,Hekima na Busara;Kwa hiyo kipara kina heshima yake bhana!.Sasa watu wanaotaka kuotesha nywele wakikutana na kansa ya ubongo ndipo watajua kushindana na Mungu siyo dili.
 
Jikubali, mimi mba zinanisumbua sana hadi nalazimika kunyoa kipala kabisa tena cha wembe angalau napumzika wiki hivi, yaani kama kunadawa ya kupata kipala nitafurahi sana
 
Mkuu kweli mi mba zinanisumbua nimetumia dawa na dawa lakini haziponi toka 2004 hadi leo, nimeona suluhisho ni kipara tu angalau napumua, nahivi ninakichwa kibaya ukinyoa hutoki ndani siku kazaa, huwa nanyoa alhamisi au ijumaa ikifika j3 angalau unavaa kofia hadi j5, yaani ni shida.
 
Ha ha ha me nina kipara halafu bado mshkj tu, inabidi ninyoe para japo bichwa pembe kama la prezzo, full majanga
 
Usihangaike, utapata madhara bure. Mimi najikubali jinsi nilivyo.
 
Mi kinaninyemelea and am in my late 20s, ila ni vinasaba hivi coz babu alikua nacho, dingi pia.
 
Mkuu kweli mi mba zinanisumbua nimetumia dawa na dawa lakini haziponi toka 2004 hadi leo, nimeona suluhisho ni kipara tu angalau napumua, nahivi ninakichwa kibaya ukinyoa hutoki ndani siku kazaa, huwa nanyoa alhamisi au ijumaa ikifika j3 angalau unavaa kofia hadi j5, yaani ni shida.

jaribu kunyoa kipala tena na kutumia garlic oil kqa muda wa siku 7 mfurulizo utaweza pata mafanikio kwa shida yako ya kushamuliwa na mba
 
Back
Top Bottom