bab-D
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 1,215
- 322
Kwani ukiwa na kipara hupati mwanamke? ?
Duh! wabongo kwa kuwaza ngono hamjambo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ukiwa na kipara hupati mwanamke? ?
jaribu kunyoa kipala tena na kutumia garlic oil kqa muda wa siku 7 mfurulizo utaweza pata mafanikio kwa shida yako ya kushamuliwa na mba
kwa hapa bongo ni shida kuipata ila waweza tengeneza mwenyewe home kwa
NB
- kutwanga/grate garlic na kupaka hio past kichwani
- kwa hutumia mafutaa mengine uyapendayo , kama vile mafuta ya nazi, kisha pata garlic(za kutosha i.e kiganja kimoja cha mkono) na zimenye vizuri, kisha pata chupa ndogo ya glass yenye mfuniko , kisha pasha moto mafuta yasichemke ila yapate joto tu kidogo, weka garlic kwenye chupa kisha mimina hayo mafuta hadi kupita ujazo wa garlic na funika, tikisa na weka kando kwa muda wa siku 4 yatakuwa tayali kwa kuyatumia
kama unaona hio itakuchelesha waweza try option ya kwanza and ukiona kuna mafanikio au la naomba tu urudi na utoe ushuhuda wako hapa jf ili wengine nao wafaidike
Mkuu fafanua hiyo no. 1