CMBC Mlalahoi
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 222
- 69
Samahani wadau, hivi kuna mtu amewahi kutumia mafuta ya kuotesha nywele kwenye kipara na yakamsaidia kweli au ni uongo tu wa hawa watu ili wajiingizie kipato, tafadhali kama kuna mdau amewahi kufanikiwa anijuze!
Mafuta gani ayo ndugu?
Kama yapo tujuzane maana kukaa na vipara sio ishu kabisa mkuu
Nimetumia binafsi imeniondolea kipara yaani nafuga Afro kabisaa
Ila hapa nchini kwetu mm sijui Kama inapatikana mm nilichukua India
Hair building fiber iko sawa
Mkuu kweli mi mba zinanisumbua nimetumia dawa na dawa lakini haziponi toka 2004 hadi leo, nimeona suluhisho ni kipara tu angalau napumua, nahivi ninakichwa kibaya ukinyoa hutoki ndani siku kazaa, huwa nanyoa alhamisi au ijumaa ikifika j3 angalau unavaa kofia hadi j5, yaani ni shida.
Usihangaike, utapata madhara bure. Mimi najikubali jinsi nilivyo.
Kama hayajakukuta utaongea mengi sana