kwa hapa bongo ni shida kuipata ila waweza tengeneza mwenyewe home kwa
- kutwanga/grate garlic na kupaka hio past kichwani
- kwa hutumia mafutaa mengine uyapendayo , kama vile mafuta ya nazi, kisha pata garlic(za kutosha i.e kiganja kimoja cha mkono) na zimenye vizuri, kisha pata chupa ndogo ya glass yenye mfuniko , kisha pasha moto mafuta yasichemke ila yapate joto tu kidogo, weka garlic kwenye chupa kisha mimina hayo mafuta hadi kupita ujazo wa garlic na funika, tikisa na weka kando kwa muda wa siku 4 yatakuwa tayali kwa kuyatumia
NB
kama unaona hio itakuchelesha waweza try option ya kwanza and ukiona kuna mafanikio au la naomba tu urudi na utoe ushuhuda wako hapa jf ili wengine nao wafaidike