Swali langu ni hilo, hawa wanaoitwa NeemaHerbalist, dawa zao zinatibu kweli kama wanavyojitangaza wanatibu?
Mimi kwa kifupi nataka kuondoa kitambi, dawa zao zinasema zinatibu hilo ndani ya siku 21, kuna mwenye ufahamu zaidi juu yao?
Maybe. Mi nlinunua dawa za hawa jamaa wanajiita faraja sanitarium. Wezi wakubwa! Dawa hazitibu wala nini. Be careful
mjini mipango