Hawa NeemaHerbalist dawa zao zinatibu kweli?

Hawa NeemaHerbalist dawa zao zinatibu kweli?

Sniper

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
1,957
Reaction score
827
Swali langu ni hilo, hawa wanaoitwa NeemaHerbalist, dawa zao zinatibu kweli kama wanavyojitangaza wanatibu?
Mimi kwa kifupi nataka kuondoa kitambi, dawa zao zinasema zinatibu hilo ndani ya siku 21, kuna mwenye ufahamu zaidi juu yao?
 
mie mwenyewe nataka nikachukue ile ya kutoa kitambi kwa siku 14 ila sina uhakika na ubora wake na kama kweli inasaidia labda jaribu kufika ofic zao unaweza kupata ufumbuzi.
 
Swali langu ni hilo, hawa wanaoitwa NeemaHerbalist, dawa zao zinatibu kweli kama wanavyojitangaza wanatibu?
Mimi kwa kifupi nataka kuondoa kitambi, dawa zao zinasema zinatibu hilo ndani ya siku 21, kuna mwenye ufahamu zaidi juu yao?

mkuu Al Capone hata mimi nimeona tangazo lao la dawa ya kutoa kitambi kwa siku 14 na wala si 21 kama ulivyoandika. Kama kuna mdau humu jamvini anayewajua hawa jamaa kwa undani atuhabarishe maana kwa kweli kitambi kinaniumiza nimehangaika kukitoa bila mafanikio.
 
Maybe. Mi nlinunua dawa za hawa jamaa wanajiita faraja sanitarium. Wezi wakubwa! Dawa hazitibu wala nini. Be careful
 
Back
Top Bottom