Hawa ni malejendari wa soka la Bongo. Je, unawajua? Wataje ushinde bundle

Hawa ni malejendari wa soka la Bongo. Je, unawajua? Wataje ushinde bundle

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
Leo ni weekend tunagawana umaskini, atakayetaja wachezaji wa zamani waliopo kwenye picha hii kwa usahihi bundle la weekend litamuhusu.

Wataje.

FB_IMG_1654848693437.jpg
 
Najiona mimi hapo, fundi wa mpira, sasa hivi mpira upo kichwani tu mwili hauna kitu
 
Back
Top Bottom