Hawa ni Nguli wa masimulizi hapa JF Jukwa la Entertainment. Je, unadhani nani ni mkali?

Kuna jamaa niliambiwa kapewa tuzo ya simulizi...na story moja ni yupi huyo?
 
Huwa naingia JF Kwa lengo la kurefresh mind na kupunguza stress. Sijawahi kucheka kama kwenye ile story ya Analyse aliyozungumzia baby mama wake alivyowabwagia mtoto nyumbani kwao 😂😂😂

Ishi sana aposto Analyse 😂😂😂😂
 
Wote ni wamotoooooooooooooo,ila yule jamaa wa yunge yule!!!Mungu anamuona
 
Fabian Babuya #bux the story teller ,hapa ni holly wood standard kama unaangalia movie .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…