Hawa ni Nguli wa masimulizi hapa JF Jukwa la Entertainment. Je, unadhani nani ni mkali?

Kuna ile ya Jirani yangu wa Goba🙌
 
kama Habibu Anga hayupo hiyo list ni batili.

hivi jamaa yupo wapi siku hizi? kimya sana, ana tatizo gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…