OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Marefa wetu wa hovyo huwezi kuwakuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bongo kuna marefa wa mchongo.....
Safi sana, majinga hayo yabaki kula posho za GieSM
[emoji1787][emoji1787] wameshageuka kuwa washambuliaji wa utopoloni[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kwamba refa anaingia na bahasha ya Kaki ya GSM
Huyu alisimamishwa kuchezwsha wakati flan kwa ajili ya mlungula, ilibidi JK aingilie kati kuokoa jahazi.Othman Kazi kama angekua kwenye ramani nahakika hapo asingekosekana.
Ikumbukwe kuna kipindi uingereza pamoja na ubora wao na ligi yao walishindwa kutoa refa hata mmoja kombe LA dunia lililopita. Hutokea tuuMarefa wetu inabidi wafanye juhudi asee.Tunaposema tuna ligi bora Afrika Mashariki lakini bado hadi Burundi inaweza toa marefa wa kuaminiwa na CAF hii inaumiza kiasi chake.
Ndio ubora wa ligi katika nchi husika wanaweza kuwa wanatumia vigezo vingi lakini sisi si wakuzidiwa na Burundi katika ubora wa marefa.
Ni kweli lakini hii ya kwetu ni zaidi ya unachosema hapa.Kumbuka hapa unasema kombe la dunia.Vipi kuna siku Uingereza kakosa refa katika UEFA champions league?Ikumbukwe kuna kipindi uingereza pamoja na ubora wao na ligi yao walishindwa kutoa refa hata mmoja kombe LA dunia lililopita. Hutokea tuu
Yap,jamaa alikua aachi mlungula,mpaka zile mechi za daraja la kwanza kipindi kile timu za Faru dume,Kagela ranger,bomu f.c alikua akichezesha anavuta mzigo na anauza mechi wazi kabisa.Huyu alisimamishwa kuchezwsha wakati flan kwa ajili ya mlungula, ilibidi JK aingilie kati kuokoa jahazi.
Lugha sina uhakika kama ni tatizo sana sema tu rekodi zao mbovu.Nachojua marefa wengi wenye mikoba ya FIFA hii english ya is and was kwao sio shida na ndiyo CAF wanataka.Sema tu wenge la marefa wa giesiemu ndio tatizo yani yanachezesha mechi za ligi hovyo yanasahau kwamba zinacount kwenye profile zaoNadhani hapo tatizo kubwa kwa marefa wetu ni lugha. Hapo English, French lazima ipande, sasa marefa wetu wa GSM hali tete.
Unafahamy sababu ya kufukuzwa kwake?Othman Kazi kama angekua kwenye ramani nahakika hapo asingekosekana.
Ila yule refa wa juzu, Daah, Mungu anamwona huko aliko!!Derby ya tano kwa ubora afrika inayofatiliwa na nchi kibao halafu unawekd marefa unaofikiri ni bora halafu wanafanya madudu ya wazi nani awachukue
Lugha (French, English & Arabic) ni factor kubwa mno! Hapa tz sidhani Kuna refa yeyote anayejua lugha hizi ... nadhani wote French walau hata ya kuombea maji hawajuiNadhani hapo tatizo kubwa kwa marefa wetu ni lugha. Hapo English, French lazima ipande, sasa marefa wetu wa GSM hali tete.
Ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu, mwaka Jana tu dunia nzima ilijua marefa wa Tanzania wote wanalipwa na Mo, au wale wa mwaka Jana walifutwa wote?Safi sana, majinga hayo yabaki kula posho za GieSM