Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Mkuu umesahau ile kashfa ya othma Kaz kuchukua mlungula kwenye mashindano ya CAF?Othman Kazi kama angekua kwenye ramani nahakika hapo asingekosekana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umesahau ile kashfa ya othma Kaz kuchukua mlungula kwenye mashindano ya CAF?Othman Kazi kama angekua kwenye ramani nahakika hapo asingekosekana.
Haa HaaSafi sana, majinga hayo yabaki kula posho za GieSM
Wee broo huyo wa burundi anaitwa pacifique ndie aliyechezesha fainali za champions alhaly vs kaizer chiefs ..usiwazarau waburundi wako vzr sna mbna katk ligi yetu wamejazana Sana hapa bongo kina Cedric, hatimana, ndaiyaragije wako vzr mno taifa ilo wanalibeza tu lkn wako trusted sanaMarefa wetu inabidi wafanye juhudi asee.Tunaposema tuna ligi bora Afrika Mashariki lakini bado hadi Burundi inaweza toa marefa wa kuaminiwa na CAF hii inaumiza kiasi chake.
Ndio ubora wa ligi katika nchi husika wanaweza kuwa wanatumia vigezo vingi lakini sisi si wakuzidiwa na Burundi katika ubora wa marefa.
Gsm si amedhamini ligi au?Ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu, mwaka Jana tu dunia nzima ilijua marefa wa Tanzania wote wanalipwa na Mo, au wale wa mwaka Jana walifutwa wote?